Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

Jumlisha

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,239
Reaction score
2,765
Bila kupoteza muda, habarini wana JF.

Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo.

Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio kukaribisha uchafu kichwani kama mmba, chawa na kujikuta unakuna nywele ka chizi na nikiendelea kuosha kila siku hazito kuwa?

Naomba kuwasilisha.
 
Ungefanya majaribio kwanza uone ni kweli?

Sisi hatuna majibu ya kukupa
 
Back
Top Bottom