MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano.
Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale Mathematicians na Scientists wa Mazoezi ya Mwili karibuni mnielimishe vyema ili Kesho ninapoanza Mazoezi nijue nifanye lipi kati ya Kutembea tu au Kukimbia hovyo bila faida kama aliyekuwa Mchezaji wa Timu mbovu Tanzania ya Yanga SC ( sasa RS Berkane ) Tuisila Kisinda.