MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Lengo kuu ni ku-burn calories. Ukitembea una-burn calories, ukikimbia una-burn calories mara mbili ya kutembea.Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano...
nipo hapaMi napenda mazoezi sana...anayekaa mbezi beach ajiunge na mimi
Ngoja nikuwekee kwenye list mkuunipo hapa
mbezi beach ipi?na mm niangalie uwezekano wa kujiunga.Mi napenda mazoezi sana...anayekaa mbezi beach ajiunge na mimi