Je, ni kweli kuwa CAF katika Kombe la CAFCC huwa hawatoi Medali kwa Mshindi wa Pili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda.

Kudadadeki....!!
 
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda.

Kudadadeki....!!
Nyie si mnadai mlifika Fainali....ya mashudu Abiola CAF mwaka 1893...je mlivaa medali!? au mlipewa Mo Shabuni!!??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
kwa hiyo, hiyo miaka ya 90 mlipewa medali ama hamkupewa..???
 
We jamaa wa wapi?

Hukumuona rais mwinyi na sarungi akiwavisha medali wachezaji wa simba?

Hata picha hujaziona?

Hata medali hujaziona?

Du!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…