Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe ni pimbi tu
Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂
 
4.ujenzi wa daraja la kigongo busisi ujenzi upo asilimia 93 🤣🤣🤣🤣
Una kiwango gani cha elimu isije nikawa nabishana na darasa la sita 😂😂..Hili daraja lipo Mwanza CBD eti...🤣🤣🤣🤣🤣
 
huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqko
Ana bachelor Gani huyo acha kumvimbisha kichwa mwendesha bajaji mi namjua huyo boya.
 
Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂
Ungeanza wewe kwanza kuleta hiyo hotel halafu kusubiri kujibiwa. Unakomaa watu wakuletee hotel kama nani kwa mfano...
 
Kwani nani kakwambia kuna miradi iliyosimama mwanza hujui kaa kimya huku Kuna 1.ujenzi wa bandari ya mwanza south unaendelea.🤣🤣🤣
2.ujenzi wa bandari ya north mwanza unaendelea zaidi ya bilioni 24 za kuanzia zimetolewa na TPA 3.ujenzi wa meli kubwa kupita zote katika maziwa makuu ujenzi upo asilimia 99 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
4.ujenzi wa daraja la kigongo busisi ujenzi upo asilimia 93 🤣🤣🤣🤣
5.ujenzi wa soko la kisasa mjini kati zaidi ya asilimia 90🤣🤣🤣🤣
6.ujenzi wa barabara ya igoma buhongwa ujenzi umeshaanza na upo asilimia 20
🤣🤣🤣🤣
7.ujenzi wa jengo la uwekezaji TIC ujenzi upo asilimia 82.🤣🤣🤣
8.upanuzi wa Airport ujenzi unaendelea 🤣🤣🤣. Kiufupi mwanza is the rising giant of east Africa ..hii ni habari chungu sana kwa Wana ukame village fc
 
wakuletee hotel kama nani kwa mfano
Kawaite na wenzako wale mashabiki maandazi+ mbururaz mje mbishane na mimi mwenye IQ kubwa ninayejibu kwa facts,details,references,hoja zilizoenda shule 😂😂😂
 
Hahahahahahahahaha yaani mtu atoke mwanza aje ashangae ukame village huna akili wewe mwanza inanukia umjini mjini Hilo bwawa unalosema lipo Dodoma mwanza Kuna ziwa la asili na upepo mzuri na beach Kali zinaanza kujengwa naipenda mwanza sana aiseee
Ndio lazima ushangae,Mwanza ni Kijijini Kwa washamba
 
Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂
Leta hiyo hotel tuione maana uliopost ni uchafu tu, Then nitakuletea hotel sio hiyo hostel ya shule uliopost
 
Acha uboya basi we jinga.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Zero brain, huna exposure hata kidogo.
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga eti...Hii thread inahusu Jiji la Mwanza sio mkoa wa Mwanza 😂😂Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema.
Mnapoleta udom na magufuli city zinakuwa CBD?, tulia msumari ukuchokonoe vizuri
 
Nakuongezea mkuu
9. Ujenzi wa bara bara ya buswelu, Tx via shibula
10.ujenzi wa bara bara ya buswelu nyamhongolo via nyamadoke
11. Ujenzi wa bara bara ya buswelu cocacola
12. Ujenzi chuo Cha Ifm mwanza
13. Upanuzi chuo Cha TIA
14. Upanuzi chuo Cha mipango
13. Ujenzi chuo DIT
14. Ujenzi wa majengo manane ya TBA eneo la Ghana
14. Chanzo Cha maji butimba
15. Na hapa sijagusa miradi ya wanazengo ambayo wakihitaji tunaifumua hapa. Dodoma haiwezi shindana na mkoa wowote ulio kwenye mwambao wa ziwa ama bahari. Hii mikoa Ina neema zake bila hata jitihada za kiserikali.
 
Kawaite na wenzako wale mashabiki maandazi+ mbururaz mje mbishane na mimi mwenye IQ kubwa ninayejibu kwa facts,details,references,hoja zilizoenda shule 😂😂😂
Nitakutukana usijilegeze kingese
 
Eti ofisi za Dodoma hazina feni au AC we thubutu ..we utakuwa ni wa mpwapwa huko ..ufukara umejaa Hadi ofisi hazina FENI ..
Dodoma usipoweka feni au AC unakufa ...plus vumbi lile 😁
 
Eti ofisi za Dodoma hazina feni au AC we thubutu ..we utakuwa ni wa mpwapwa huko ..ufukara umejaa Hadi ofisi hazina FENI ..
Dodoma usipoweka feni au AC unakufa ...plus vumbi lile 😁
Vumbi linaanzia mjini na ule ukame sasa ndo maana ni mkoa unaoongoza kuwa na wagonjwa wa macho (trachoma). Ila kutana na mburula wa Dom vidunje watakavyokubishia.
 
Nitakutukana usijilegeze kingese
Huna uwezo wa kubishana na IQ kubwa kama yangu wewe kwanza shukuru nakupatia details+facts na kukuongezea maarifa ya bure ambayo huwezi kupata popote
 
Hili ni Jengo la PSSSF ..Gold Crest ni wapangaji tu pale basement parking ni shida kwa jinsi palivyobanana😂😂.
Swali lipo palepale nitajie hoteli yoyote Mwanza yenye ukubwa(square meters) wa eneo kama wa St Gaspar Hotel Dom yenye conference centers nyingi within one area na yenye uwezo wa kuhost magari zaidi ya 1000 parking kwa wakati mmoja😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…