Je ni kweli kuwa huyo samaki pichani ni migebuka?

Je ni kweli kuwa huyo samaki pichani ni migebuka?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Naomba kujua ukweli kama huyo samaki ni migebuka au rafikiyangu huyu wa kigoma kanidanganya

IMG-20250305-WA0001.jpg
 
Mbegu zake zinapatikana wapi tukapande kwenye vibwawa na vijito vyetu? Sema wanaweza kuwala samaki wenyeji wote na kubaki wao kama sangara anavyowashughulikia sato na samaki wengine
 
Hyo ni AI,we hushangai kuona dereva wa mkokoteni nae kajitishwa dish kichwani
 
Huyo anapatikana kwa kutumia text (prompt) unaweka kwenye Artificial Intelligence..., kwahio ni bei ya Bundle tu kupata hiyo picha...

Moja ni mtu gani anaendesha huo mkokoteni huku amebeba beseni kichwani ? (kwanini asiliweke kwenye hiyo cart) ?

Pia huyo ni Sato (amekuwa dimensionally increased)..., Kuhusu ukubwa tu hilo sio tatizo kuna kipindi baharini walikuwepo kina Papa na Nyangumi wengi tu...

In this day and age usiamini kila unachokiona
 
Back
Top Bottom