Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
uje nikufundishe samakiHuyo ni pegere
This is AI generated image mkuuWadau hamjamboni nyote?
Naomba kujua ukweli kama huyo samaki ni migebuka au rafikiyangu huyu wa kigoma kanidanganya
Embu niambie mkuu umetumia AI gani nina kazi nayo.Wadau hamjamboni nyote?
Naomba kujua ukweli kama huyo samaki ni migebuka au rafikiyangu huyu wa kigoma kanidanganya
View attachment 3259712
WapoAnaweza kuwa Sangara, ingawa miaka hii wale sangara giants wametoweka
Inawezekana wapo ila si wengi kama miaka ya mwanzoni mwa 90 kurudi nyuma, walikuwa wanapatikana wengi MwanzaWapo
Huyu ni Nile Pearce yaani SangaraWadau hamjamboni nyote?
Naomba kujua ukweli kama huyo samaki ni migebuka au rafikiyangu huyu wa kigoma kanidanganya
View attachment 3259712