SI KWELI Je ni kweli kuwa kuwa Rais Ruto Alicheza Gofu na na Rais Putin Wa Urusi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Je wakuu huyu ni Rais Ruto na Rais Putin wakicheza Gofu
 
Tunachokijua
Ni kweli kuwa Rais wa Kenya William Ruto alisafiri hadi Mosco kuhudhuria Jukwaa la kiuchumi na kibinadamu la Russia na Africa, lakini hakuna ushaidi kuwa Rais Ruto na Rais wa Urusi Vladimir Putin walicheza gofu pamoja

Baada ya upelezi na uchambuzi wa taarifa hii inabainika kuwa picha iliyotumiwa, mwangaza kwenye miili ya viongozi hao ni laini kupita kiasi na hauendani na mwangaza wa mazingira yanayowazunguka pia ngozi na mikunjo ya mavazi ya viongozi hao inaonekana laini na iliyosafishwa kupita kiasi hali hii inaashiria matumizi ya AI

Kwa mujibu wa People Daily Ruto Alihudhuria halfa ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Rais Putin mjini Mosco tarehe 28 Octoba 2026 , hata hivyo hili halimanishi kuwa viongozi hao walicheza gofu pamoja
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…