ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
πππ
Yaani wanachangnikiwa na maisha mpaka ukiona nyumba ndogo zao unabaki kujiuliza, huyu jamaa karogwa au vipi.....kwa nini anakuwa na demu kama hivi?Utajiri uinakupa fahari ya maisha na sio peace of mind, watu wenye pesa nyingi ndo wanaongoza kwa stress.