Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na upele usoni. Je hili ni la kweli?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.