Je ni kweli kuwa nywele ndefu zinakondesha?

Je ni kweli kuwa nywele ndefu zinakondesha?

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Habari wana jf,juzi 2lipokuwa hapa mtaani kwetu tukibadilishana mawazo kuna jamaa mmoja alituambia kuwa eti mtu hasa mwanaume akiwa na nywele ndefu kichwani zinamfanya akonde,je ni kweli?naomba mwenye kujua ukweli wa hili atufahamishe ili tuujue ukweli ni upi.
 
Haijathibitishwa kisayansi kuwa nywele ndefu hasa kwa wanaume zinakondesha...kama 'hypothesis' yenu ilitokana na 'Rastafarians' ambao hufuga 'dreadlocks au rasta' kuwa wembamba, wale jamaa wengi wao ni vagetarians (wale wenye imani ya kirasta), kwa hiyo wembamba wao huwa unatokana na wanachokula na maisha yao kwa ujumla. Hata hivyo, kuna watu wengi tu wana rasta lakini vibonge!
 
sio kweli kabisa mbona marasta wengi wanavitambi vya kufa m2 mkuu
 
Habari wana jf,juzi 2lipokuwa hapa mtaani kwetu tukibadilishana mawazo kuna jamaa mmoja alituambia kuwa eti mtu hasa mwanaume akiwa na nywele ndefu kichwani zinamfanya akonde,je ni kweli?naomba mwenye kujua ukweli wa hili atufahamishe ili tuujue ukweli ni upi.

Huenda,but it has to be prooved scientifically.
Mi binafsi nikifuga nywele ni kweli huwa nasemwa kuwa manywele yako yamekukondesha sana na ata mimi huwa najiona na nilishaproof ktk mzani. I finally shaved and noticed the difference!! Mpaka sasa ata mimi sielewi why!! Okay,It might be time for scientists to work with.
 
Ni kweli
Virutubisho vingi vinakimbilia kwenye nywele.
 
ka ndo hivo kumbe ndo mana me mnene mana olwez uwa nanyoa kipara
 
Kwa mfano sie wenye nywele za kipilipili ndio tutakuwa wanene tu?
 
sidhani kama kuna ukweli.
mbona mrisho mpoto ana nywele ndefu na ni mnene.
 
Fid Q yule mtu wa Bongo Flava anamanywele marefu na ni bonge.. Innocent Galinoma yule aliimba ule wimbo wa Highest Mountain in Africa ana manywele marefu na ni bonge. Lenox Lewis hivyo hivyo manyele yake marefu na ni bonge!
 
Back
Top Bottom