Je ni kweli kuwa unaweza kuzuia ndevu zisiote?

mzee wa fix

Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
17
Reaction score
11
Habari wanaJF,
Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
 
Ni kweli kabisa zipo dawa za kuzuia ndevu zisiote lakini zina madhara makubwa sana mwilini kwakuwa zinaingia kwenye mzunguko wa damu na kuua seli nyingine pia
 
Ni kweli kabisa zipo dawa za kuzuia ndevu zisiote lakini zina madhara makubwa sana mwilini kwakuwa zinaingia kwenye mzunguko wa damu na kuua seli nyingine pia
Mkuu je kuna dawa za kusababisha ndevu ziote kwa wingi?
 
Jichune Ngozi eneo lote la Kidevuni Kwasababu Scar Haioti Ndevu.
 
du! sa unataka uzizuie za nini? shauri yako zitaotea ndani
 
Habari wanaJF,
Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
Dawa nyepesi ni kung'oa mojamoja tangu wakati zinaanza kuota

Nimetumia hiyo mbinu tangu zilipoanza mpaka sasa ni over 30 ila vipo vidogo navyoweza mudu kutunza na zikizidi tu nang'oa

Ila inauma
 
Zipo mkuu lakin zikifanya kazi kinyume, unaweza ukaamka asubuhi ukajikuta sokwe.. Kiparamakulega
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu u made my day.
Ila nazipenda sana halafu hazioti kabisa vile nipo under 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…