marcs
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 1,066
- 573
Limepanga na mungu!!!
Kuna usemi usemao kwamba kila jambo baya au zuri limepangwa na mungu na hasa kwa dini ya kislamu naomba mtujuze au tupate majibu ya neno hili
Kuna neno hili mungu humpa amtakae na kumnyima amtakaye
Je huu ni ukweli kwamba anampa huyu na kumnyima huyu
Kwa nn iwe hivyo kama ndo hivyo bac mungu ana upendeleo na ubaguz
Kunaweza kutokea ajari lakini utasikia mwenyez mungu kapanga iwe hivyo
Je kweli mungu anahuska ktk ajari vifo etc kama ni hivyo je huyu ni mungu wa ukweli au
Je kweli mungu ni mkubwa kama watu wanavyosema?
Bac kama ni mkubwa kama nn je ni kama mt everest Kilimanjaro etc
Je kama ni mkubwa anaweza kuumba kitu kikubwa cha kumzidi yeye kama hawez je uwezo na ukubwa wake uko wap?