Je, ni Kweli kwamba Kuna Uhuru wa kudhuru (free movement) baina ya washiriki wa SADC?

Mzungu_bahili

Senior Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
174
Reaction score
420
Habari Wana jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa Apo ju. Je, Ni kweli Kuna free movement across SADC members.

Source: ITV, Katika kipindi Cha dakika 45, akihojiwa Mheshimiwa Balozi Saimon Siro, Balozi wa Zimbabwe na Mauritius amenukuliwa akisema kuwa Zimbabwe Kuna Fursa nyingi za kibiashara ikiwemo KUFUNDISHA KISWAHILI, BIASHARA YA SAMAKI NA MCHELE, na biashara nyingine nyingi.

Lakini katika mazungumzo hayo akihojiwa na Muandishi wa Habari wa ITV Farhia Middle. Mheshimiwa Balozi amesema kuwa Kuna Uhuru wa kutoka Tanzania na kwenda Zimbabwe bila Visa.

Ni kweli moja ya malengo ya SADC ni free movement across member countries. Lakini nataka niulize JE, Kama hakuna haja ya Visa, ni vitu gani wanahitaji pale mpakani? ili uweze kuzama uko Zimbabwe. Nataka nizamie uko kibiashara lakini. Natanguliza shukran.

P.S Kwenye Heading ni kuzuru sio kudhuru

By Mzungu_bahili
 
Unajua maana ya uhuru wa kudhuru? Yaani wewe unataka watu wawe na uhuru wa kudhuriana? Kweli kuwe na uhuru wa kuumizana? Hakika una vihoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…