Je ni kweli kwamba mkojo ni dawa ya....

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Heshma wakuu
Naombeni kuuliza katika pitapita yangu nmekutana na hii kwamba mkojo unatibu vidonda vya tumbo na kwamba mtu anywe asubuhi baada ya kuamka na baada ya siku 10 anapona kabisa je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…