haya mambo huenda na imani, kwani huko ktk imani yako inasemaje ktk hili?Nina imani humu Jamii forum kuna wajuvi wengi sana ,
Leo sijaja na maelezo mengi sana bali nimekuja tu na maswali haya machache wajuvi wanaojua waje wanijibu ,
Je ni kweli kwamba mtu akiuawa basi yule aliyemuua ndiye anabeba dhambi zake?
Vitabu vya imani(Dini) vinaelezaje kuhusu hilo?
Au ukweli wote ni kwamba mtu akiuawa anaenda na dhambi zake ila yule aliyeua ndio anabeba dhambi yake tu ya kuua na siyo dhambi za yule aliyemuua(marehemu) ?
Nahitaji kufahamu kuhusu hilo wakuu.
Mkuu unaudhibitisho wa yeyote aliyebeba furushi lake[emoji23]Kila mtu atabeba fulushi lake,Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu,hakuna kubebeana wala kusaliana ili Mungu apunguze au kumsamehe mtu,Kila mmoja anapaswa kutengeneza na Mungu wake kabla jua la mauti halijamkuta.
Nikuambie tuu dhambi zinatofautiana kwa mfano dhambi ya kumtukana Roho Mtakatifu haisameheki kamwe!Tena wanasema dhambi haina mzani et muongo na muuaji wote wako sawa hakuna alomzidi mwenzake ukubwa wa dhambi[emoji23]
Dhambi zina tofauti, kwa mujibu wa Uislam kuna dhambi kubwa kama Ushirikina,Uchawi,Kuua,Kula mali ya yatima,Riba,Zinaa n.kTena wanasema dhambi haina mzani et muongo na muuaji wote wako sawa hakuna alomzidi mwenzake ukubwa wa dhambi[emoji23]