Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
Sasa hivi Mzee Wassira amesema anataka kurudi kwenye meza ya maridhiano lakini upande wa pili wa meza kuna uwezekano akawa amekaa Tundu Antipas Lissu.
soma habari ya mkasa huo hapa chini.
www.mwananchi.co.tz

Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.