Ni kweli tena ilikuwa Dodoma Bungeni Lissu alitoka nduki...Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
..mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
..Sasa hivi Mzee Wassira amesema anataka kurudi kwenye meza ya maridhiano lakini upande wa pili wa meza kuna uwezekano akawa amekaa Tundu Antipas Lissu.
..soma habari ya mkasa huo hapa chini.
Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.www.mwananchi.co.tz
Kujaribu ni kufikirika si kufanikiwa, tujadili nini hapa, kwamba alimtwanga au alitwangwa? Leta uzi mwingine wa maana...Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
..mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
..Sasa hivi Mzee Wassira amesema anataka kurudi kwenye meza ya maridhiano lakini upande wa pili wa meza kuna uwezekano akawa amekaa Tundu Antipas Lissu.
..soma habari ya mkasa huo hapa chini.
Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.www.mwananchi.co.tz
Kujaribu ni kufikirika si kufanikiwa, tujsdili nini hapa, kwamba alimtwanga au alitwangwa? Leta uzi mwingine wa maana.
Sijui ukweli wake, ila wanaomfahamu Wassira ni mtata sana, senseless na anapenda siasa za ubabe.
Sio ajabu.
Ni kweli, Nikikumbuka vizuri Nickname ya Tyson siasani ni mzee Wassira 😅Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.www.mwananchi.co.tz
Yah nami nimekumbuka.... aka ya Wassira ni TYSON!
😅
SOMA vizuri alichosema.Ni kweli tena ilikuwa Dodoma Bungeni Lissu alitoka nduki.
Kumbe ndio maana akaitwa Tyson?Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
Sasa hivi Mzee Wassira amesema anataka kurudi kwenye meza ya maridhiano lakini upande wa pili wa meza kuna uwezekano akawa amekaa Tundu Antipas Lissu.
soma habari ya mkasa huo hapa chini.
Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.www.mwananchi.co.tz
Yaani kwa uropokaji wa Lissu, mimi ningelikuwa karibu nae, sio tu ningemtishia bali ningeliishamchapa makofi zamani!!!Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
Sasa hivi Mzee Wassira amesema anataka kurudi kwenye meza ya maridhiano lakini upande wa pili wa meza kuna uwezekano akawa amekaa Tundu Antipas Lissu.
soma habari ya mkasa huo hapa chini.
Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.www.mwananchi.co.tz
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa walimuita Tyson baada ya kumshinda Mheshimiwa Warioba kwenye ubunge mwaka 1995Kumbe ndio maana akaitwa Tyson?
Akiishiwa au kuzidiwa hoja,babu ni mkorofi na mikono myepesi kuelekea kwa hasimu wake kihoja.Sijui ukweli wake, ila wanaomfahamu Wassira ni mtata sana, senseless na anapenda siasa za ubabe.
Sio ajabu.