Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikisikia tu hiki kitu “energy drink” hata kitengenezwe wapi na nani akili zangu moja kwa moja zinaniambia ni kinywaji mfano wa sumu so hakitakosa madhara.Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
Cc: Cookie & DR Mambo Jambo
haha dah sema wanatumia tu watafanyaje sasa, japo nasikia wanazidisha ingredients kama hio sodium benzoate au potassium benzoate.Mimi nikisikia tu hiki kitu “energy drink” hata kitengenezwe wapi na nani akili zangu moja kwa moja zinaniambia ni kinywaji mfano wa sumu so hakitakosa madhara.
Kitu hufahamu nikuwa, karibu kila kinywaji huwa kinahifadhiwa na sodium benzoate au pottasium. Kwaiyo kma utasema energy uweke mbali afu utumie vunywaj vibgine kama majuis nk hakuna ulichokwepa.Mimi nikisikia tu hiki kitu “energy drink” hata kitengenezwe wapi na nani akili zangu moja kwa moja zinaniambia ni kinywaji mfano wa sumu so hakitakosa madhara.
mkuu kwani hamna mbadala wa namna ya kuhifadhi hivyo vinywaji bila kutumia chemicals?Kitu hufahamu nikuwa, karibu kila kinywaji huwa kinahifadhiwa na sodium benzoate au pottasium. Kwaiyo kma utasema energy uweke mbali afu utumie vunywaj vibgine kama majuis nk hakuna ulichokwepa.
Mbadala upo sana tuu, ila maranyingi hii ni nyepesi sana. Maana benzoic acid hata maabara za kawaida unaweza tengenzeza. Kwa waliosoma masomo ya kemia wanajua inavyotengenzwa. Ila njia zingine za kuhifadhi ni gharama sana, na kama ujuavyo bongo vitu vyepes ndio vinatakiwa.mkuu kwani hamna mbadala wa namna ya kuhifadhi hivyo vinywaji bila kutumia chemicals?
Upo sahihiMbadala upo sana tuu, ila maranyingi hii ni nyepesi sana. Maana benzoic acid hata maabara za kawaida unaweza tengenzeza. Kwa waliosoma masomo ya kemia wanajua inavyotengenzwa. Ila njia zingine za kuhifadhi ni gharama sana, na kama ujuavyo bongo vitu vyepes ndio vinatakiwa.
hakika ndio hivyo mkuuMbadala upo sana tuu, ila maranyingi hii ni nyepesi sana. Maana benzoic acid hata maabara za kawaida unaweza tengenzeza. Kwa waliosoma masomo ya kemia wanajua inavyotengenzwa. Ila njia zingine za kuhifadhi ni gharama sana, na kama ujuavyo bongo vitu vyepes ndio vinatakiwa.