EVER JORII
Member
- Jul 19, 2019
- 8
- 10
Mwafrika pia ni mbaguzi wa rangi sana..
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractiveHivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
hahaha black is beaty but not attractiveSi wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive