Kwa magari ni tofauti kama ilivyo kwa paka. Wengi wetu tunaogopa paka mweusi kuliko mweupe. Paka mweusi anaaminika zaidi kuwa mchawi kuliko paka mweupe.Gari nyeupe haivutiii, kwaaajili ya maskini hata ukipiga puti unaweza kuendelea na safari bila kupaka rangi na pia ni bei rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, labda wewe...Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Sio mbaya kujipa moyo ila ukweli unajulikanaSi kweli, labda wewe...
Tena nanihii zote 2!Napenda mwanamke mweusi mpaka raha. Lakin mwanamke mweupe koote ila pale kwenye nanii peusiii.
Kama wee ni black jivunie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndiomnaosababisha wanawake weusi waanze kujichubua ili wawe weupeHivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Ndiyo wazuri au watamu?View attachment 1325654
Weusi wa hivi ndio wazuri kuliko wote.
Mwanamke mweupe anapenda mwanaume mweusi na mwanamke mweusi anapenda mwanaume mweupe kuna ukweli hapa ?Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Yaan tafran!!! Mi mke mweusi ananikosha roho sana mana mpak naniliu pia nyeusi asa inaleta msismko sana kwenye majamboz. Ila nkimwangalia mtu mweupe afu kule peusi....nakosa msisimkoTena nanihii zote 2!
Ile mushkeri yote yaondoka wakati wa mechi...
Sasa ndiyo ukute kajichubuwa, waweza dhani jini!
Ni wazuri na watamu kwa pamoja.Ndiyo wazuri au watamu?
Kwa kweli sijui kila mtu ana preference yake. Nachojua tu bright color huwa zina attract mapema.Mwanamke mweupe anapenda mwanaume mweusi na mwanamke mweusi anapenda mwanaume mweupe kuna ukweli hapa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri unaanza nje kwanza na sura ina mchango mkubwa. Umbo, sijui rangi ni preference.A) Uzuri nini?
1. Umbo
2. Rangi
3. Mtazamo wa mtu mwenyewe
B) Je nikweli anayeaminika mzuri kwa mtazamo na kipimo cha mwenzako pia ataonekana mzuri kwa mwengine kwa kiwango kilele?
C) Kwanini kila mmoja humsifia mwandani wake na sio wote tumsifie mmoja tu?
Je uzuri nini? Rangi?, umbile, mtazamo wa mtu?
Naomba majibu.