Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
]Nini hii kitu?Hao ndio wateja wakuu wa Deppo Provera!.
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Inaelekea ukiranja mkuu wako umeutumia vibaya................. Shuleni ukipata ukimwi hufukuzwi ila ukipata mimba wanakutoa baru fasta, hivyo kwa wanafunzi ni kweli.........kwamba wanaogopa sana mimba kuliko ngomaWandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Inaelekea ukiranja mkuu wako umeutumia vibaya................. Shuleni ukipata ukimwi hufukuzwi ila ukipata mimba wanakutoa baru fasta, hivyo kwa wanafunzi ni kweli.........kwamba wanaogopa sana mimba kuliko ngoma
ghaaarrrrr HUONI hata haya kujieleza kuwa umetembea na wanawake wengi, what especial unachotafuta kwa hao wengi??? ukimwi, mimba, starehe, experience au nini haswaa??? ukiona wanaogopa mimba kuliko ukimwi basi tambua lifuatalo:
HAO WAMEKWISHA ATHIRIKA NA VVU HIVYO HAWANA HOFU TENA YA KUUPATA UKIMWI MARA MBILI, KINACHOWASUMBUA SASA NI KUTOKUPATA MIMBA ILI WASIJE KUTIBUA VIDUDU VILIVYOLALA.... get that into your skull.......🙄
Duu kweli wewe ni Kiranja Mkuu,unaona raha kujisifia kwa ufuska.Kivipi hebu fafanua tafadhaliWandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Plz andika swali sio majibu. Pia hao ni rahisi kukupa tigo kuliko kukupa amana kama siku sio nzuri au simba wanafanya mazoezi.Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Plz andika swali sio majibu. Pia hao ni rahisi kukupa tigo kuliko kukupa amana kama siku sio nzuri au simba wanafanya mazoezi.
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
mkuu ni kweli kabisa -hii mambo pia ishanikuta-wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?