Je ni kweli kwamba wasichana wanaogopa mimba kuliko ukimwi?

Mimba ni noma. Hasa ukimchapa mwanafunzi wa sekondari ambaye yuko under the age of 18. Jamaa yangu alikimbia nyumba na kazi kwa ajili ya msala wa mimba
 
kumbuka kila ulitembea nae ni ndoa hizo zote .siku ukija kuoa matatizo mengi katika ndoa yako mara utasema umelogwa kumbe umejiloga mwenyewe.Jamani tuitunze hii miili yetu tafuta mke uoe acha ufuska .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…