Je, ni kweli Madame Wema Sepetu analea hivi sasa?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Kama hivi habari ni za kweli basi mungu ni mwema, hatimaye bibie Wema amebahatika kupata mtoto. Mwenye picha na mwenye ukweli tujuzane.
 
Hiyo mimba alikuwa nayo lin
 
SI tungeshajua wote yule star mapaparazi lazima wangemnasa pichani
 
Ni kweli ila anayelelewa ni kajibwa MANUNU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…