Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
sawa ila sio kichwa kichwa nipate uhakika kwanza kukoje km hakueleweki nabadili gea angani km mbowe nikiwa hapahapaNenda mwenyewe kahakikishe yakikushinda rudi zako Bongo
Haahaa kwann unasema ivo kiongoziyani marekani maisha yawe magumu kuliko bongo ata mbwa anaweza kukuzaba kofi
tunazungumzia land of opportunities kuishi maisha magumu US ni kujitakia mwenyewe sio kama hapa bongo manHaahaa kwann unasema ivo kiongozi
true kiongoziMaisha kuwa magumu ama mapesi inategemea na uzalishaji wako, maana hao wanaoishi kifahari huko unaposema pagumu wao wamefaulu vipi..??
Kuna kupatia fursa, kuna uvumilivu na uchapakazi lakini hayo hayatokwenda vyema kama akili hamna lazima utalamba mchanga tu!
Parachichi 1 ni elfu 50 Sasa pima mwenyeweWakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu nshachoka na hizi sarakasi nataka nifanye maamuzi magumu.
yeah haya nshayaskia sana. laifu ni expensive hakuna kugongea wala uchawa. hakuna wa kupiga naye stori yani we unakuwa men alone kwa 100%.inasemekana wengi wanakata moto kwa upweke.Inasemekana huli bila kufanya kazi, hakuna mtu anakusaidia au kwa lugha nyingine (anakuungia) ukiwa umekwama au huna. Ni wachoyo na wabinafsi vibaya mno!
Maisha ni ghali na kila kitu kiko systematic. Huwezi kukwepa kodi, internet, sijui maji na huduma zinginezo za kawaida na zisizo za kawaida.
Kuanzisha kampuni au biashara ni very long and complicated proccess hasa ukiwa sio raia au huna makaratasi.
Ukiwa huna tabia ya ubinafsi kufanikiwa ni ngumu sana kwako.wachoyo na wabinafsi vibaya mno!
haahaa kiongozi bila shaka wew utakuwa wa kutoka upande ule.Halafu hata msosi wa hivi hakuna ni mwendo wa Makidonadi, Pizahati, Keiefusii, Chikeni Filee, Popeye na upuuzi mwingine dah! π
View attachment 3212528
View attachment 3212532
Za kuambiwa changanya na zako.Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu nshachoka na hizi sarakasi nataka nifanye maamuzi magumu.