zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Dripu iko mkao zaidi, mshauri achukue hiyo.Tumia tu Maji, Ya AC ni kama distilled water, yaani yana impurities chache ndio maana hao watu walikushawishi.
Hapana. Maji ya kwenye ac ni maji yanayopatikana baada ya hali ya mvuke kupozwa na kugeuka matone ya maji. Hayo maji huwa tunaita condensed water au distilled water.Kisa yanakuwa ni ya baridi?? [emoji3][emoji3]
Hizo ni sound (myth) kama sound zingine tu, manufacturer anasema tutumie recommended coolant... So kama huna mpunga wa hiyo special coolant tumia maji masafi yoyote tu...
Usije hangaika bure kutembelea ofisi za watu.
Samcezar hebu gusia hapo kwenye upozaji tafadhali...Ni bora zaidi na yanasaidia kupoza vizuri injini ya gari vizuri zaidi.