Je, ni kweli majina yanaathiri tabia?

Asha D, we mtumie tu hiyo namba,
Najua atakapoishia na jina lake la pekee!

Mbona hapo kwa huyo Neema inaeleweka outcome itakuaje, na hilo jina TB analojidaia nitampa namba ya mbishi hata amwage sera vipi.
 
yawezekana kuwa kweli majina yanaathiri tabia coz nimewahi kuskia kuwa kina frank nao sio waaminifu ktk mahusiano...i think names in our liveszina impact
 
Topic ya leo iko juu? Mie simo humo nafikiri. Majina ni watu. Sikitu, sikujua, shida etc. siyo majina ya kuwapa watoto wako. Ebu tuwe wabunifu wa majina tuachane na Ushamba wa kuwapa watoto majina mabovu.

Glory be to God
 
umeisoma signature yangu hapo chini????

The Boss nimeipata mda -The name Michelanjelo ndo ili trigger cause sikuwahi jua ana quotes zozote, The guy was a genius of many talents. Kama unaniambia uko level hizo unanitisha.... au ni apply the sig peke yake not the man ili walau niwe na amani.
 
Topic ya leo iko juu? Mie simo humo nafikiri. Majina ni watu. Sikitu, sikujua, shida etc. siyo majina ya kuwapa watoto wako. Ebu tuwe wabunifu wa majina tuachane na Ushamba wa kuwapa watoto majina mabovu.

Glory be to God

wewe unaona majina mabovu.
wenzio yana maana kubwa...

sikitu maaana yake hakuna ubaya,mtoto ni mtoto bila kujali ni msichana au mlemavu...

sikujua maana yake sikujua kuwa kuzaa ni kazi ngumu yenye maumivu mengi...

shida ni mtoto aliezaliwa kwa shida na kukuta hali ya shida pia..
 
The Boss nimeipata mda -The name Michelanjelo ndo ili trigger cause sikuwahi jua ana quotes zozote, The guy was a genius of many talents. Kama unaniambia uko level hizo unanitisha.... au ni apply the sig peke yake not the man ili walau niwe na amani.

kuwa na amani tu....
hizo level zinafikika mbona....
 
Vipi wale wanaoitwa Grace. Wana tabia kama za kina Neema?
 
Jaribu wakina shida,maajabu, mazoea.......kama huna bahati na akina neema haha haha.......
 
kaka story yako imenigusa vilivyo, ni bahati sijui niite mkosi wa kukutana na akina Neema, O' level nilikutana na Neema akanizingua, A level nikakutana na Neema mtoto mzur wa kiiraq, huyu alinizungusha mpaka namaliza form 6, alikuja kunikubalia nikiwa mbali lakin baada ya kuja kuonana akanikana. Niliapa kutowafuata akina Neema, Mwaka jana nikiwa Arusha nilikvana na bint mrembo, nilipomuuliza jina akasema anaitwa Neema, nilipata mshtuko wa moyo, alinipa namba yake lakn baada ya mapoz kuzid nilimpotezea. Majuz nikiwa chuo nilikutana na mrembo mwingne, akanambia anaitwa Neema, niliwasiliana naye kwa siku chache lakn sasa hatak hata kupokea simu. Inafika kipindi nalichukia hili jina, Neema..Neema... Usipate tabu ooh Neema
 
names.....majina yana maana zake na huwawinda watoto, jina utalompa mwanao linaweza kumfanya afanane nalo.
a name might also reflect a parent, so parents watch out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…