M MumbaZ Senior Member Joined Jan 28, 2018 Posts 133 Reaction score 124 Feb 24, 2018 #1 Jamaa mmoja anayejua sana kuchamba watu, simjui kwa jina, nimeikuta hii video akiwasema wa mama wanaopenda kusalandia vijana wadogo wenye umri kama watoto wao waliozaa. yaani BEN TEN alafu wakifika kwenye shughuli wanatapatapa!. Mdau toa mchango wako..
Jamaa mmoja anayejua sana kuchamba watu, simjui kwa jina, nimeikuta hii video akiwasema wa mama wanaopenda kusalandia vijana wadogo wenye umri kama watoto wao waliozaa. yaani BEN TEN alafu wakifika kwenye shughuli wanatapatapa!. Mdau toa mchango wako..
Eng Mose JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 242 Reaction score 322 Feb 24, 2018 #2 Nimepanda first class
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Feb 24, 2018 #3 kumbe huwa wanatoa macho kama taa za disko? ajabu hii
M MumbaZ Senior Member Joined Jan 28, 2018 Posts 133 Reaction score 124 Feb 24, 2018 Thread starter #4 Norshad said: kumbe huwa wanatoa macho kama taa za disko? ajabu hii Click to expand... wanatapatapa mara oooh ngoja ! kwanza!
Norshad said: kumbe huwa wanatoa macho kama taa za disko? ajabu hii Click to expand... wanatapatapa mara oooh ngoja ! kwanza!
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Feb 25, 2018 #5 Huyu mtoto wa kiume anaongea huyo,ataoa kweli huyu!?Itabidi aoe bubu maana du hilo gubu si la nchi hii
Huyu mtoto wa kiume anaongea huyo,ataoa kweli huyu!?Itabidi aoe bubu maana du hilo gubu si la nchi hii