M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,161 Reaction score 4,251 May 19, 2026 #1 Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli?
Sikio la muazini JF-Expert Member Joined Jun 17, 2026 Posts 262 Reaction score 519 Jun 18, 2026 #2 MAMBA HANA ULIMI NDIO
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 Jun 18, 2026 #3 Nguvu ya Mamba Kumai kumuchanga ni kubulula
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jun 18, 2026 #4 Si kweli kwamba mamba hana ulimi, mamba anao ulimi mkubwa na mnene.Hata hivyo, tofauti na wanyama wengine au binadamu, mamba hawezi kuutoa ulimi wake nje ya mdomo. Mawele said: Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli? View attachment 3591192 Click to expand...
Si kweli kwamba mamba hana ulimi, mamba anao ulimi mkubwa na mnene.Hata hivyo, tofauti na wanyama wengine au binadamu, mamba hawezi kuutoa ulimi wake nje ya mdomo. Mawele said: Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli? View attachment 3591192 Click to expand...
M Mishi Zawa JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,673 Reaction score 2,575 Jun 18, 2026 #5 Kila siku anaongea, you bela woch your back