Je ni kweli manii ya mwanamke yana madhara?

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
512
Reaction score
326
Mara nyingi nimekuwa nikisikia kwamba ,endapo mwanamke atakuwa katika siku zake za hatari,Kama akishiriki tendo takatifu bila kinga na endapo wakati wa tendo akafikishwa kileleni basi yale manii yake yanaondoa uwezekano wa kupata mimba eti kwasababu manii ya mwanamke ni kama maji ya limau,yanaenda kuuwa mbegu za kiume,je lina ukweli wowote wa kitaalamu hili?
Jambo la pili,je ni kweli uwezekano wa mwanamke kupata mimba kwa haraka unategemea damu za wahusika?inasemekana Kama damu zao haziendani wanaweza wakashiriki tendo la ndoa katika zile siku zote za hatari na mimba isiingie,na inawezekana ikatokea mwanamke huyohuyo akashirikiana na mwanaume mwingine tofauti siku moja tu na mimba ikaingia,je lina ukweli hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina lako lanikumbusha milima ya umatengoni....Watu wanneeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually scientific article moja ilisema kua hilo bao la mwanamke husaidia zaidi bao la mwanaume kuishi muda mrefu kabla ya kupevushwa na hulirahisishia njia katika kufikia upevushaji.
 
Back
Top Bottom