Aaaaa..... Asha beat halijaisha, mbona umekata verse mwana!!!Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lolsitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenziye lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G kwa karanga za kuonjeshaunajua mwanamke akipenda uwaaa apenda kweli Mapenzi yana run duniaFeel free to love...
Mkuu Ashadii nimetuma hiyo kitu na usingizi ukanichukua kabisa lol. Thanx kwa lyrics, kwel mapenzi yana run dunia teh!Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lolsitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenziye lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G kwa karanga za kuonjeshaunajua mwanamke akipenda uwaaa apenda kweli Mapenzi yana run duniaFeel free to love...
Aaaaa..... Asha beat halijaisha, mbona umekata verse mwana!!!
Mkuu Ashadii nimetuma hiyo kitu na usingizi ukanichukua kabisa lol. Thanx kwa lyrics, kwel mapenzi yana run dunia teh!
Mkuu, Ashadii kwa evidences usimpime teh! Hapo ndipo napompendea teh!
Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lol
sitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye
mapenzi ya kweli kwa mwenziye
lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya
mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G
kwa karanga za kuonjesha
unajua mwanamke akipenda uwaaa
apenda kweli Mapenzi yana run dunia
Feel free to love...
Mimi naona kama MAJINI(GHOSTS) ndo wanai-run hii dunia.. ni nani anayebisha?Miaka hii Pesa ndio ina run dunia, anayebisha,prove me wrong
Free mason auMimi naona kama MAJINI(GHOSTS) ndo wanai-run hii dunia.. ni nani anayebisha?
hii ni nini tena jamani?Free mason au
Freemanson ni watu wanaoabudu shetani, google!hii ni nini tena jamani?
mmh! ngoja niende kanisani kujitakasa.
Freemanson ni watu wanaoabudu shetani, google!