The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Mar 11, 2016 #1 Nataka kujua huu ni uongo au ukweli tetesi hizi zililetwa na nini,maana kuna watu huwa hawaamini Tanzania wanaenda Kenya ,aidha mniambie ni hospital gani wakweli juu ya hili kuna rafiki yangu anahisi kuna kademu kamemtumbua jipu?
Nataka kujua huu ni uongo au ukweli tetesi hizi zililetwa na nini,maana kuna watu huwa hawaamini Tanzania wanaenda Kenya ,aidha mniambie ni hospital gani wakweli juu ya hili kuna rafiki yangu anahisi kuna kademu kamemtumbua jipu?