Je? Ni kweli Mayanga kumuacha Mkude nje kwenye kikosi cha taifa kitakacho chuana na Algeria alikua sahihi

Mikia Mkude amewaumaaaa..kuna Makame Wa Zanzibar heroes hatari..viungo wote wanzanzibar Banka,Makame,Mudathir,Faisal toto..mbele Samatta,Msuva...kapombe,Gadiel,Banda,Yondani..kipa Aisha..
 
Tunaheshimu maamuzi ya Mwalimu Mayanga.Kama ana jambo lake nje ya soka, basi Mungu anaona.
 
Huyu Mayanga hajitambui ukiacha Mkude bora hata Buswita kuliko Ulimwengu asiye na timu.
 
Mikia Mkude amewaumaaaa..kuna Makame Wa Zanzibar heroes hatari..viungo wote wanzanzibar Banka,Makame,Mudathir,Faisal toto..mbele Samatta,Msuva...kapombe,Gadiel,Banda,Yondani..kipa Aisha..
Gadiel hamna kitu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…