johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo yameshapita hayo..kuna haja gani kuyarudia..Acha uchokonozi!
Serikali ilijiondoa kwenye kesi.
Full stop.
Kwenye sheria kujifunza ni kila siku.Mambo yameshapita hayo..kuna haja gani kuyarudia..
Ndio John,hivyo tuufunge huu mjadala kwani unarejesha ukakasi wa iliyokuwa kesi mchongoš¤Bado haieleweki vema kwamba Freeman Mbowe ameachiliwa katika misingi gani haswa, ukiachilia mbali sheria iliyompa mamlaka DPP kuamua kutoendelea na kesi.
Kwa mfano, Dr Akandunduma anadai kuwa maadamu DPP aliondoa kesi mahakamani wakati ameshamaliza kuhoji mashahidi wake maana yake ni kuwa alishabaini hawezi kushinda.
Lakini wengine wanadai anayefuta kesi ni Jaji/ Hakimu siyo DPP hivyo kitendo cha Jaji kumkubalia DPP ni ishara kuwa Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu toka mwanzo.
Swali: Je, Freeman Mbowe ndiye mshindi kwenye ile kesi ya Ugaidi?
Kwaresma njema!
Aliyesalimu amri ni yule Aliyemtuma Zitto amshawishi Mbowe Aombe Msamaha lakini Mbowe akagomaMbowe alisalimu amri kwa mama!
Nmeona mahojiano yake na Salimu Kikeke, jamaa anaulizwa masawali anajing'atang'ata tu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app