Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kaona TAG imepoteza uelekeo ni bora ajitoe tu akasimamie maono yakeKuna taarifa mitaaji zinazagaa kuwa Mchungaji Moses Magembe wa Tanzania Assemblies of God kajiondoa mwenyewe kwenye hilo kanisa kuendelea na maono yake kwingine
Je taarifa hizo ni kweli?
Sio kweli anaitwa Magembe kwa taarifa za tetesi zinazosambaani MAJEMBE NA SIO MAGHEMBE
Ni Mchungajii wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God ,Majumba Sita,Ukonga Dares salaamNi wa wapi huyo mchungaji?
ni wa TAGNi wa wapi huyo mchungaji?
Acha wafu wazikane wenyeweTaarifa zilizopo ni uongozi wa TAG kumfukuza mchungaji mmoja asiyejulikana sana anaitwa Majembe ambapo taarifa hizo zikageuzwa na watu kimakosa na kusambazwa na watu kuwa Mchungaji Maghembe (ndio anayejulikana sana) kuwa kafukuzwa.
Upande wa pili, ni taarifa za kudai mchungaji Maghembe kajitoa TAG na kuanzisha kanisa lake. Hizi hazijulikani chanzo chake na mpaka sasa hazina uthibitisho.
Huyo Mch Majembe amekengeuka kitu gani hadi viongozi wakanisa kuamua kumfukuza?Taarifa zilizopo ni uongozi wa TAG kumfukuza mchungaji mmoja asiyejulikana sana anaitwa Majembe ambapo taarifa hizo zikageuzwa na watu kimakosa na kusambazwa na watu kuwa Mchungaji Maghembe (ndio anayejulikana sana) kuwa kafukuzwa.
Upande wa pili, ni taarifa za kudai mchungaji Maghembe kajitoa TAG na kuanzisha kanisa lake. Hizi hazijulikani chanzo chake na mpaka sasa hazina uthibitisho.
labda kajiinua zaidi ya wakubwa zakeHuyo Mch Majembe amekengeuka kitu gani hadi viongozi wakanisa kuamua kumfukuza?
sasa wakubwa wao wanakengeuka, hao wadogo si ndio balaa? Wakubwa wameacha mafundisho ya mwanzo kukemea dhambi na kutubisha wenye dhambi. Watu wanajiingilia tu kanisani na dhambi zao wala hawakemewi kama zamaniHuyo Mch Majembe amekengeuka kitu gani hadi viongozi wakanisa kuamua kumfukuza?
Kanisa (Ukristo) kwa ujumla linapitia kipindi kigumu.sasa wakubwa wao wanakengeuka, hao wadogo si ndio balaa? Wakubwa wameacha mafundisho ya mwanzo kukemea dhambi na kutubisha wenye dhambi. Watu wanajiingilia tu kanisani na dhambi zao wala hawakemewi kama zamani
Au anakula ovyo kondoo wa Bwanalabda kajiinua zaidi ya wakubwa zake