Hawa Wafalme karibu wote huwa ni waongo waongo wanasema hivyo kuhalalisha Ufalme wao tu.
Karibu wote wanasema hivyo. Jordan, Morocco, hata Haile Selassie wa Ethiopia alisema ukoo wake umetoka kwa Mfalme Suleiman.Umenifungua akili. Wanalinda madaraka yao kwa kusingizia wameandikwa kwenye Quran watawale wao
Karibu wote wanasema hivyo. Jordan, Morocco, hata Haile Selassie wa Ethiopia alisema ukoo wake umetoka kwa Mfalme Suleiman.
Ni trick ya siku nyingi sana hii.
Hata Kama aki toka huko, Ina kusaidia vipi we mtu mweusi???.
👉Wana jisafisha na kuji takasa tu hao🤒
Morocco ndiyo baba wa uislam,misikiti ya kale kabisa iko petra na kibla zake zimeangalia Yerusalem. Utawala wa Abbasids ndiyo ulihamishia centre ya Uislam Mecca. Kama wao wanasema ni boodline ya Muhammed basi inaweza kuwa kweli.