Je, ni kweli mgunduzi wa treni alikuwa Mtanzania?

Ndonoman

Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
12
Reaction score
31
Nimekuwa nikisikia story kuwa mgunduzi wa treni ya kwanza alikiwa mtanzania.

Na baada ya ugunduzi huo Wazungu (nasikia ni Wajerumani sina hakika wa hilo) kuwa walimuua na wao wakachukua huo ujuzi na kufanya kuwa yao.
 
Ndio madhara ya kushinda vijiweni "kupiga stori" haya. Kulishana taarifa utopolo tupu.
 
Huenda ikawa.
Ila usiseme mtanzania, ni MTANGANYIKA.
 
Ndiyo ni kweli aligundua lakini ilikua haitembei kwenye reli ilikua inapotelea kwenye kona ya nyumba
 
Daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuwa nikisikia story kuwa mgunduzi wa treni ya kwanza alikiwa mtanzania.

Na baada ya ugunduzi huo wazungu( nasikia ni wajerumani sina hakika wa hilo) kuwa walimuua na wao wakachukua huo ujuzi na kufanya kuwa yao.
On February 21, 1804, British mining engineer, inventor and explorer Richard Trevithick debuted the first full-scale working railway steam locomotive in the Welsh mining town of Merthyr Tydfil. Following that debut, locomotives have been powered by a myriad of fuels, including wood, coal and oil.
 
Nimekuwa nikisikia story kuwa mgunduzi wa treni ya kwanza alikiwa mtanzania.

Na baada ya ugunduzi huo wazungu( nasikia ni wajerumani sina hakika wa hilo) kuwa walimuua na wao wakachukua huo ujuzi na kufanya kuwa yao.
Wewe ungeishia facebook. Huku sijui umejiungaje.
 
Nimekuwa nikisikia story kuwa mgunduzi wa treni ya kwanza alikiwa mtanzania.

Na baada ya ugunduzi huo wazungu( nasikia ni wajerumani sina hakika wa hilo) kuwa walimuua na wao wakachukua huo ujuzi na kufanya kuwa yao.
Mkuu labda kuruka na ungo kunaweza kuwa related na ndege....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…