wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Wanajamvi heshima kwenu,
Kama kichwa kinavyojieleza kuna kipindi siku za nyuma niliwahi kumsikia radioni mtaalamu mmoja wa afya akisema mimba inayotungwa alfajiri hupelekea kuzaliwa watoto "bright" au ambao ni Smart. Lakn hakufafanua inakuwaje!
Naomba wataalam wa afya mnifafanulie kama hili jambo lina ukweli wowote