Je, ni kweli mimba inayotungwa alfajiri hupelekea kuzaliwa watoto "bright"?

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Wanajamvi heshima kwenu,
Kama kichwa kinavyojieleza kuna kipindi siku za nyuma niliwahi kumsikia radioni mtaalamu mmoja wa afya akisema mimba inayotungwa alfajiri hupelekea kuzaliwa watoto "bright" au ambao ni Smart. Lakn hakufafanua inakuwaje!

Naomba wataalam wa afya mnifafanulie kama hili jambo lina ukweli wowote
 
Kwa hiyo baridi la asubuhi linasaidia kufanya genes improvement au alikuwa anamaanisha nini?

*Nadhani kitu muhimu ni kujiepusha na mambo yanayoharibu nature ya sperms zetu.
*Kufanya crossing na mtu sahihi kwa wakati sahihi.
*Kingine ni kuwa wastaarabu tu kwenye mambo hayo. Ukisikiliza kila story utafanya kila uendawazima. Maana mwingine alikuja na story zake kuhusu styles ha ha aaa.

Yeye anaingiza pesa kwa kuandaa kipindi na ukamsikiliza.
 
Kuna biological factors mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…