Je, ni kweli miradi inayotekelezwa nchini inawanufaisha wazawa?

Je, ni kweli miradi inayotekelezwa nchini inawanufaisha wazawa?

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Katika Serikali ya Rais Samia Suluhu mirsdi yote inayotekelezwa nchini inawanufaisha wananchi kwa asilimia kubwa maana ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika miradi mbalimbali nchini umeendelea kuwa fursa ya ajira kwa vijana.

Moja ya vipaumbele vya Mhe. Rais Samia Suluhu ni kutoa elimu ya ujuzi kazi na ubunifu ambayo itazalisha nguvu kazi inayohitajika kwenye uwekezaji na miradi inayotekelezwa nchini, na itawezesha wanufaika kujiajiri.

Hii inathibitisha kuwa Rais Samia Suluhu anafanya jitihada zote kumuinua mwananchi kiuchumi
 
labda neno mama anaupiga mwingi walisikika wamasai ubalozi wa kenya
 
Back
Top Bottom