zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Tajeni garage gani iko wapi acheni siasa
Siyo tu Rangi, mautundu yote ya ufundi wa magari yapo moshi na arusha. Nakumbuka kuna miaka scania walikuwa wanaendesha mashindano ya kusambaratisha engine za scania na kuzifunga faster kuna jamaa yangu Fulani alikuwa anaongoza kila wakija anachukua no. 1 na mkwanja wa kutosha pale arusha. Yaani kwa kifupi mautundu ya magari yapo kwenye hii mikoa. Udereva nk. Kuna mhindi mmoja alikuwa anatumika kufanyia interview madereva wa semi. Huulizwi chochote yeye anakaa kushoto wewe unaendesha anakuongoza kwenye vichochoro ukitoboa ajira nje nje! Hii ilikuwa arushaHabari wadau,
Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi.
Je, ni kweli wanapatikana huko tu?
Leo nikipitia page ya capitalzone, asee mazingira na kazi zinazotoka pale ni tofauti. Wanatoa vyombo vikali ila mazingira ni hovyo sana.Mkuu ,
Unazani Basi Kuna gereji zenye hadhi?
Ila mafundi[emoji62] sasa ni international level...
[emoji124]
Karibu KIMATARE GARAGE moshi, hautajuta kutufahamu. Google hilo jina kwa picha na mawasiliano zaidiTatizo hamtaji hata majina ya hizo garage za Moshi, Arusha.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Karibu KIMATARE GARAGE moshi. Hutajuta kutufahamu. Google hilo jina kwa picha na mawasiliano zaidiHabari wadau,
Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi.
Je, ni kweli wanapatikana huko tu?
DAG... Dullah Auto Garage yupo majengo karibu na kituo cha police..Itakua ni kwa yule capital 4 x 4
Njoo Mbezi nifate inbox ushangaeHabari wadau,
Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi.
Je, ni kweli wanapatikana huko tu?