Je, ni kweli Moshi na Arusha ndo inaongoza kwa kuwa na mafundi rangi wazuri wa magari?

Niliifumua hiace pale mkabala na msikiti wa Riadha double road inapoanzia/ishia. Wanapaki hovyo hovyo!!

Jamaa akaita fundi wake kuuliza bei 10,000. Nilimuuliza mara mbili mbili.

Yangu nayo kunyoosha na kupiga rangi 15,000 nikachoka kabisa.

NimepAnga niipeleke body gari nzima huko huko Moshi
 

Garage gani Moshi Mkuu?
 
Story za magari moshi na arusha ni kweli, hii nikutokana na interaction na Nairobi, maana hata ukiangalia lifestyle za magari ya hapa na mafundi ukienda Nairobi kama zinaendana, gereji zenyewe n bubu za mtaani tu ila chuma inatoka imenyooka.

Ila kama wewe sio muongeaji mfuko wako umevimba unahitaji gareji mzuri wanakuagizia
 
kutembea kwingi nikuona mengi. Spare ni mingi na tena za magari ya generation ya sasa unapata
 
Arusha kuna siku mtu alitaka kupiga rangi side mirror kwa 60k.



Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau,

Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi.

Je, ni kweli wanapatikana huko tu?
kweli kwa upande wa kaskazini yaani Arusha, Moshi, n Tanga wako vizuri kuliko maelezo kuanzia kweny body modification, overhall na upande wa rangi wanashikilia namba moja utajutiaa maamuzi yako......
 
Hata Dar kuna wapiga rangi wazuri. Kuna Shakikeli, mchizi wa Kigamboni, ana mkono wa rangi na ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…