Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ebu tuoneshe scenes zilizowahusisha MOSSAD ktk harakat za mapambano iyo janaKwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.
Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.
Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa mstari wa mbele katika mapambano ya jana ya vikosi vya serikali dhidi ya Al Shabaab. Hii imekuja wakati ambao KDF inapokea sifa kemkem kwa uwezo wao wa kusambaratisha magaidi hayo ya jana hapo Nairobi.
Inaelezwa kuwa 80% ya misheni hiyo ya kupambana na magaidi hao jana na leo imefanywa na Mossad kwa niaba ya vikosi vya Serikali. Kuna baadhi ya picha mtandaoni zikionesha Mossad wakiwa katika uwanja wa mapambano.
Je ukweli upoje?
Sent using iPhone X
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.

Picha hiyo
Huyu jamaa nilimuona amepita kwa kasi sana.. Sijui alielekea wapi kwenye ile scenePicha hiyoView attachment 996544
SAS.Ngoja nimsaidie kapicha mtoa madaView attachment 996541
I see kumbe ni SAS
Nimeisoma hiyo article naona jamaa anasifiwa mwanzo mwisho lakini kuna maswali mengi tu
Mkuu,SAS ni nani hasa?I see kumbe ni SAS
Huyu ndio aliongoza mashambulizi na kuwapanga askari wa Kenya
Asante mkuu
Sent from my SM using Tapatalk
Hao jamaa wanatembea fully loaded kwenye gari yake, huwezijua ni saa ngapi kitanuka, kama ilivotokea kwenye tukio hiliNimeisoma hiyo article naona jamaa anasifiwa mwanzo mwisho lakini kuna maswali mengi tu
Mojawapo ni hili imekuwaje awe kwenye right place at opportune time with all his kits au ndio instincts zenyewe ama la Wazungu walishalisoma tukio lenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app