Je ni kweli MOSSAD ndio walipambana kwa niaba ya KDF?

Waswahili hatujiamini kabisa

Wakishinda KDF wameshinda Mossad

Wakishindwa KDF wameshindwa KDF


Katika tukio la Westgate Wayahudi wa Mossad waliitwa Na wakafika kwa wakati lakin wakashindwa kuokoa chochote leo Wakenya wameweza tunataka sifa apewe Mwingine

Yale Yaleeeeeee , Tukishinda Sifa kwa Mganga, tukifungwa Lawama kwa Kocha
 
Nimejaribu kutafuta google huko SAS nimeona kirefu chake ni ' SPECIAL AIR SERVICE ikiwa ni Special Forces Unit ya Jeshi la Uingereza(22nd Special Air Service Regiment)!
Uhusiano na MOSSAD nimejaribu kutafuta sijaona.
Ila kwa maana ya kilichotokea Kenya,huyo jamaa kasaidia kuokoa maisha na hata kusaidia Jeshi ka Kenya kuwafyekelea mbali hao magaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wana kikosi maalum cha counter terrorism kinaitwa GSU( general security unit) a.k.a recce.
Hawa ndio wamemaliza mission ya jana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,SAS ni nani hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Special Air Service ni kati ya vikosi katika jeshi la Uingereza
Kazi yao ni kupambana na ugaidi mahali popote duniani
Wana mafunzo ya hali ya juu kabisa ndio maana huyo jamaa wa SAS alishiriki kikamilifu na kuongoza kuwatoa watu na kuwapanga wanajeshi kwa kuvamia na kuuwa

Hawa SAS ni hatari sana

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwahiyo unashauri nini?

Sent using iPhone X
 
Ok mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa hii makala

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Hata mimi nilijiuliza sana baada ya kuona picha zake.....
 
TAMBUA VITA YA UGAIDI INAPAMBANWA NA KILA MTU!
TUKIO LA KIGAIDI LIKITOKEA VIKUNDI VYOTE VILIVYOPO VINAPIGANA TAFF!
HAIJALISHI CIA,MARINES,GSU,
HAPO MAGAIDI WANAENDA KUGOMBANIWA KAMA MPIRA WA KONA

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…