Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiz tabia za kutumia midawa ya kuzuia mimba hali ya kuwa hana hata ndo na kubweteka pindi apatapoa mimba ndo sababu kubwaMwanamke alozaa kwa operesheni katika mzao wake wa kwanza, hawezi tena kujifungua kwa njia ya kawaida?
na nini kinapelekea wanawake wengi zama zetu hizi kujifungua kwa operesheni?
jmn co kweli co kila mtu anaomba afanyiwe operation jmn wengine inatokea mtu anafanya mazoezi hatumii uzazi wa mpango rkn operation anafanyiwaHiz tabia za kutumia midawa ya kuzuia mimba hali ya kuwa hana hata ndo na kubweteka pindi apatapoa mimba ndo sababu kubwa
Jibu la swali lako ni HAPANA.Mwanamke aliyezaa kwa operesheni katika mzao wake wa kwanza, hawezi tena kujifungua kwa njia ya kawaida?
Na nini kinapelekea wanawake wengi zama zetu hizi kujifungua kwa operesheni?
Jibu la swali lako ni HAPANA.
Bali, inategemea nini hasa kilisababisha "oparesheni" katika huo uzao wa kwanza? Kama ni sababu ambayo ni permanent na haibadiliki, basi ndio hataweza tena kujifungua njia ya kawaida (mfano: njia ya uzazi "nyonga" ndogo isiyoweza kupitisha mtoto). Kwa hiyo basi, kama uzazi wa kwanza ulijifungua kwa mnjia ya oparesheni, na sababu ilikuwa ni ile ambayo sio ya permanent mfano kondo kutangulia (placenta previa), uzazi wa pili unaweza kujaribu kujifungua kwa kawaida (trial of scar). Lakini, hii inabidi ifanyike chini ya uangalizi, kuhakikisha kuwa wahudumu wa afya wamejiandaa kufanya oparasheni muda wowote ule mambo yakienda vibaya.
Baadi ya sababu ambazo zinaweza kusababisha ushindwe kujifungua njia ya kawaida na kuhitaji "oparesheni" ni kama ifuatavyo:
-Nyonga nyembamba isiyoweza kupitisha mtoto
-Kama una ugonjwa mwingine wa muda mrefu ambao utaleta shida wakati wa kujifungua kama ugonjwa wa moyo,
-Mtoto kutanguliza miguu/matako
-Kondo kutangulia (placenta previa)
-Mtoto mkubwa kupita kiasi (big baby)
-Mimba ya mapacha wawili/watatu/wanne
-mtoto kulala vibaya (transverse/oblique lie)
-Uchungu kwenda taratibu sana au kushindwa kuprogress
-Mtoto kuchoka (fetal distress).
Ni muhimu kuelewa kuwa, sababu zote hizo hapo juu (isipokuwa ya kwanza), ni sababu ambazo ni relative; kumaanisha kwamba si lazima mfano mama akiwa na mimba ya mapacha basi ajifungue kwa oparesheni, uamuzi utategemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na hali ya mama,etc etc.
Abuu Ibrah
Wanaume wa mjini wana vibamia, hawazibui kisawasawa njia za kuingilia duniani .... vijijini wanaendelea kujifungua kawaida.Mwanamke aliyezaa kwa operesheni katika mzao wake wa kwanza, hawezi tena kujifungua kwa njia ya kawaida?
Na nini kinapelekea wanawake wengi zama zetu hizi kujifungua kwa operesheni?
Ahsante kwa kushukuru mkuu.shukrani sana kwa elimu Dr. je kama operation ilisababishwa na pressure pre eclampsia nitaweza kujifungua kawaida kwa uzao wa pili? kama sio, nifanye nn ili niweze kujifungua kawaida?
Ahsante kwa kushukuru mkuu.
Kama sababu ya oparesheni uzazi wa kwanza ilikuwa ni pre-eclampsia, basi uzazi wa pili mama anaweza kabisa kujaribu kujifungua kwa njia ya kawaida; Kinachotakiwa ni
-Kuanza kliniki mapema, na kuhudhuria kliniki kwa kadri alivyopangiwa-hii ni muhimu kwa sababu wahudumu wa afya watakuwa wakimpima pressure yake kila anapoenda kliniki ili kuhakikisha si kubwa kuliko kawaida; kwa vile huyu anakuwa katika uwezekano mkubwa zaidi wa kuweza kupata pre-eclampsia tena,
-Kufanya kipimo cha ultra sound kwa kadri itakavyoshauriwa ili kuhakikisha ukuaji wa mtoto uko vizuri,
-Kuhakikisha kuwa wakati wowote atakaposikia dalili za pre-eclampsia (kuumwa kichwa,kuona maluwe luwe,mkojo kupungua,maumivu ya chembe ya moyo) aweze kwenda kituo cha huduma ya afya upesi ili kuhakikisha kuwa kama kuna shida inashughulikiwa haraka ipasavyo
-Ushirikiano na utayari wa mama pale ambapo uchungu tuu unaanza, awahishwe mapema kituo cha huduma ya afya, na aweze kufuata maelekezo atakayopewa na wahudumu wa afya, ili muda utakapofika aweze ku-push mtoto wake vizuri,
Two ten
safi sanaKurudiwa kwa operation ya kujifungua ni kwa sababu: kama mama ana maumbile madogo hususani ya mifupa ya nyonga au alipata kupooza nyonga akiwa bado mdogo basi huyo atahitaji kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua. Kama sababu za kufanyiwa upasuaji sio zile zinazojirudia kama kutoka damu ukeni kwenye mimba pevu, mtoto kutanguliza matako, mapigo ya mtoto kuwa kasi au kupungua katika mimba zinazofutia si lazima kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua.
Mara mama anapofanyiwa upasuaji kwa mara ya pili kwa ajili ya kujifungua basi huyo anashauriwa awe anajifungua kwa njia ya upasuaji kwani kovu lake si salama.
lakini pia pre-eclampsia sio sababu tosha ya mama kufanyiwa upasuaji, ila inawezekana katika hiyo pre- eclampsia ilokupata huenda mapigo ya moyo ya mtoto yalibadilika( to low or high) ndio kupelekea kufanyiwa operationasante sana mkuu, barikiwa sana Dr .
Kurudiwa kwa operation ya kujifungua ni kwa sababu: kama mama ana maumbile madogo hususani ya mifupa ya nyonga au alipata kupooza nyonga akiwa bado mdogo basi huyo atahitaji kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua. Kama sababu za kufanyiwa upasuaji sio zile zinazojirudia kama kutoka damu ukeni kwenye mimba pevu, mtoto kutanguliza matako, mapigo ya mtoto kuwa kasi au kupungua katika mimba zinazofutia si lazima kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua.