Je, ni kweli mtu anaweza akanywa pombe na vidonge vya viagra..

Naombeni majibu wataalam wa afya
Hilo jambo ni la kitaalamu kidogo.

Wahusishwe zaidi wataalamu wa afya kutoa hitimisho.

Lakini nijuavyo mimi, pombe na viagra vinatumiwa sana na wakware kwa pamoja na wapo tu wanadunda.

Waonakufa kibudu kisababishi kikubwa ni matumizi ya viagra na si pombe kwa wenye historia ya ugonjwa wa moyo.

Kwa hiyo kama una matatizo ya moyo ukichanganya pombe na viagara, kitakachokuzimisha hapo ni viagra inayopandisha presha.

Lakini kama huna tatizo la kiafya, ukibwia baba kwa raha zako sidhani kama kuna tatizo.
 
Pata konyagi yako moja faru john. Ongeza red bull mbili au tatu. Tafuna viagra 2. Huo mziki utakaompa huyo mwenza sijui kama atakuja kukusalimia tena. Mhogo unakua mtarimbo mpaka kunakucha. Usiambiwr
 
Yani unataka raha mara mbili sio?

Unataka ulewe na papuchi ule sio?

Nakushauri ufanye kimoja, la sivyo hautafanya chochote.

Utakuja kushtuka ukiwa kwenye foleni ya kuingia jehanam!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha ya tatu atajikuta Jehanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…