Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Hana mtoto

Hiyo nayo ni shida....hapo tu hana mtoto wala watoto na ana mtambi kama huo....akishazaa je? Aisee huyo ni wa kumuachia mbali mpaka apunguze kitambi. Kwani alikuwa hajioni mtambi unakua? Uzembe mwingine bwana. Inaelekea huyu ni wale mademu wafakamiaji vyakula, unampa ofa anafikiri kesho hatoiona, anakula mpaka unamkimbia.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza ukali wa maneno rafiki!!! Eti!?? Kwani unauhakika wa hayo unayoyasema??? Na unafikiri wote wenye vitambi wanakaa mjini????
Na unajua anakitambi kiasi gani au kikoje???

Km unachakushauri shauri hayo mengine sidhani km yana maana kwa sasa?;!!!!
 
Ameshasema demu ana kitambi zembe kwa kuwa hana watoto. Mtu hajazaa na mtambi huo, si ni uzembe huu? Nyie kina Mama wengine mnajifukuzia wanaume wenyewe, shauri yenu. Jitunzeni na kujiheshimu mtapata anayewahusudu.
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
mnavyowadharau vibamia ndivyo wanaume tunadharau hicho kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…