Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma.

Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa ni kweli yamo
 
Huo ukanda Una makaa ya mawe na chuma, kwahiyo hakuna la kukufanya utilie Shaka.
 
Asante mkuu ila nilishawahi kusikia kua chuma na makaa ya mawe huwa havikai pamoja au karibu na chuma ila liganga na mchuchuma tu ndio yako jirani
 
Mantrax Toka Ukraine wapo kwenye mchakato wa kuchimba uranium huko.
Ukiona sehemu haifai kwa kilimo Mungu kaweka madini
 
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma.

Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa ni kweli yamo
pia uranium inapatikana,,,kijiji cha likuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…