Je, ni kweli NASA ilidanganya kuhusu safari ya mtu wa kwanza kutua mwezini(Apollo Moon Mission)?

teknolojia nikitu chenye midaalo mirefu ambayo inapingwa sana na kutafutwa sababu nyingi sana,mpaka leo hata kimawazo tu vitu vinavyo weza kufikirika kisayansi watu uvipokea kama sayansi ndoto isiyo fanyika.mfano mzuri soma hii storia ya huyu dada Ada Lovelace,kuna watu walikuja kuvumbua vitu ambavyo navo vililetewa mjadala hata kupingwa lakini leo ndo tunavitumia na kama chachu ya matumizi kama huyu dada alivo gundua lugha ya kompyuta mwaka 1840 kama mawazo.
 
Siamini kama mwezi ni sayari, mwezi uliundwa ili kuleta mwanga katika sayari yetu dunia wakati wa usiku, jiulize ni kwa nini mwezi unamuonekano tofauti na sayari zingine ambazo huwa tunaziona angani kama nyota?
 
Hua najiuliza mtu wa kwanza kaenda 1972 hadi sasa ni miaka 46 hakuna aliyerudi mwezini!..walikuta nini huko? kwanini hawajarudi?...
Eti watu wengine wataenda mwezini 2020 ina maana miaka 48 baada ya mtu wa kwanza kwenda!!...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nikanywe uji kwanza
 
Siamini kama mwezi ni sayari, mwezi uliundwa ili kuleta mwanga katika sayari yetu dunia wakati wa usiku, jiulize ni kwa nini mwezi unamuonekano tofauti na sayari zingine ambazo huwa tunaziona angani kama nyota?
umeelewa ulichokiandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…