Je, ni kweli NGIRI (Henia) usababisa uume kuwa mdogo ama tetesi tu?

Je, ni kweli NGIRI (Henia) usababisa uume kuwa mdogo ama tetesi tu?

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Kuna maneno mengi yanasema juu ya hilo.Ningependa kupata ufafanuzi wa mambo yafuatayo kuhusiana na maradhi ya NGIRI kwa wanaume.
1.Je,yanaweza sababisha uume kuwa mgogo?
2.Yana madhara gani katika tendo la ndoa mfano kukosa hamu,kuchoka nk.

Mdau Kisoda2
 
Msaada tafadhali kuhusiana na yafuatayo:

1. Ugonjwa wa ngiri kwa mwanaume unasababisha uume kutokua(mdogo)
2. Je, ni madhara gani yapo katika suala zima la tendo la ndoa?

Mdau
Kisoda2
 
Last edited by a moderator:
Kuna ngiri ambayo haisababishi mshipa kwa maana ya busha ila inatokea kipindi cha baridi hasa mikoa ya Pwani, hii husababisha hamu ya tendo la ndoa isiwepo pamoja na nguvu za kiume kupungua
 
Kuna ngiri ambayo haisababishi mshipa kwa maana ya busha ila inatokea kipindi cha baridi hasa mikoa ya Pwani, hii husababisha hamu ya tendo la ndoa isiwepo pamoja na nguvu za kiume kupungua
<br />
<br />
Sawa na tiba yake ni nini?
 
Back
Top Bottom